Muhammad katika Kum 18:15 na 18??
Quran 7:157 + 61:6 Quran inasema kwamba Muhammad ametajwa katika biblia kwa hiyo tunakwenda pale ambapo watetezi wa imani ya kiislamu wanapotuelekeza kuangalia kama ni sawa. leo tunaangalia kumbukumbu 18:15 na 18 Mungu atainua nabii nabii huyo atakuwa kama musa atanena kwa jina la mungu (jahwe) atanena yale ambayo mungu anamuamuru. 1. waismaeli mungu anasemaje juu ya ishmaeli? tusome mwanzo 17:17-22 mungu hana agano na waishmaelianaahidi atambariki kuwa taifa kubwa lakini hana agano kama isaka. kazi ya agano yote inafanyika miungoni mwa wana wa isaka kwa hiyo kusema kwamba sababu ya muhammad kuwa na cheo ya unabii kutokana naurithi wake kama wa ukoo wa ishmael haileti maana. hatujui kama muhammad alikuwa wa ukoo wa ishmael, kithibitisho cha uhakika kinakosekana 2. anafanana na musa kwa sababu alileta sheria kwa njia hiyo anafanana lakini tutasoma biblia inasemaje juu ya jinsi anavyotakia kufanana 3. alikuwa mtawala wa kisiasa unaweza kusema anafanana kwa sababu aliongoza kundi la watu na pia musa alifanya hivyo. 4. atakuwa mtawala wa kijeshi ndiy wote walifanya hivyo, lakini joshua aliyemfuata musa, na daudi pia ni watawala wa kijeshi Nabii kama musa kum 34:9-12 nabii kama musa yukoje ana onana uso kwa uso na mungu. anatenda miujiza kama musa alivyofanya huko misri Asiesikia neno ya huyo nabii atawajibishwa na mungu Nabii akisema kitu chochote ambayo mungu hajaamuru lazima auawe. au akisema kwa jina la miungu mengine lazima auwawe hasa alitakiwa kunena kwa niaba ya yahwe mungu wa waisraeli. utajua kwamba si nabi wa mungu akitabiri na hayatokei hapo huyo nabii amesema kwa kauli yake siyo ya mungu msimuogope nabii huyo muhammad haku..: ongea uso kwa uso na allah. hakutenda miujiza kama musa muhammad alipewa mafunuo yake kupitia jibreel muujiza ambayo inadaiwa katika quran ni qurani yenyewe…. watu wa wakati wake walisema; mbona hakupewa kama alivyopewa musa? Quran 28:48 muhammad alitabiri maneno ambayo shetani alimuambia Quran sura 53:1ff Sehemu ya unabii wake wa asili imeondolewa katika quran na inamaelezo yake katika maandiko mengine ya kiislamu. al-tabari vol 6 pg 108-111 waqureshi walimkataa muhammad na dini yake na ilimsikitisha sana wapagani walifurahi kwa sababu miungu yao yamekubaliwa na wafuasi wa muhammad walikubali kuinama na kuabudu pamoja nao muhammad alitoa unabii ambao haukutoka kwa mungu na isitoshe alipendekeza watu wake kuinama na kutumia miungu kwa kufikisha maombi yao kwa allah kwa sheria ya musa anastahili kuuwawa! na hastahili kufuatwa 3. muhammad alisemana haikutokea? muhammad alitabiri kwamba chalifati (utawala iliyoongozwa na khalifa) ingedumu miaka 30 Jami` at-Tirmidhi 4:7:2226 lakini utawala wa namna hii iliendelea hadi siku zetu. ikianza na ya Rashidun 632-661 kuendelea na ummayad 661-750 na wa abbasidi 750-1258 ya mwisho iliyoitwa khalifati ya wa ottoman iliahirishwa mwaka 1924 tarehe 3 ya march muhammad alitoa unabii ambao haukutokea kama alivyo tabiri (zipo nyingi ila nilichagua moja ambayo ni rahisi hata kwako kukagua) inaonekana alikuwa nabi aliyonena kwa kauli yake mwenyewe si kwa kauli ya mungu kwa kuhitimisha; tumeweza kuona kwamba muhammad hawezi akawa nabi anayoongelewa katika kum 18:15 na 18. hakuwa myahudi hiyo ilikuwa ishara moja hakunena uso kwa uso na mungu (jahwe) hakutenda miujiza kama musa alitabiri hata maneno ya shetani alinena kwa niaba ya miungu mengine (al-lat manat na al-uza) na alitabiri vitu amabyo havikutokea ukitaka kujua anayefaa zaidi kama nabii anayetabiriwa, angalia video hii na kuhusu muhammad katika biblia tunaenedela kumtafuta… subscribe usikose kipindi kingine.. https://en.wikipedia.org/wiki/Satanic_Verses Jami` at-Tirmidhi 4:7:2226